2 Chronicles 2:10

10 aNitawapa watumishi wako, yaani, maseremala wakatao mbao, kori 20,000
Kori 20,000 za ngano ni sawa na lita 4,400.
za unga wa ngano, kori 20,000 za shayiri, bathi 20,000
Bathi 20,000 za mvinyo au mafuta ni sawa na lita 440,000.
za mvinyo, na bathi 20,000 za mafuta ya zeituni.”

Copyright information for SwhNEN